Nyumba ya Bruno Fernandes yavamiwa akiwa Italia
Дата публикации: 22-10-2026 17:46:45
Nyumba ya nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes, imevamiwa na wezi wakati kiungo huyo akiwa nchini Italia kwa mchezo ambao timu yake ilifungwa mabao 4-1 na Como, jana Jumatano usiku.
Схожие новости
Классификация: . Схожих патентов: 0. Схожих новостей: 10. Тональность: 0. Информативность: 6.57. Источник: www.mwananchi.co.tz.